National Economic Empowerment Council

Prime Minister's Office

Tuesday, October 10, 2017 - 09:00

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limedhamini mkopo wa Tshs 360 Milioni kupitia Taasisi ya UTT Microfinance  kwa Kampuni ya Star Natural Product, kama mkopo kwa ajili ya kutoa mafunzo ya ubunifu na uzalishaji wa  viwanda  vidogo vidogo vya kutengeneza sabuni,kuchakata zao la

Monday, October 2, 2017 - 11:15

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi linapenda kuwafahamisha waalikwa wote na umma kwa ujumla kua kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu, Mkutano wa Uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Ujasiriamali uliokuwa ufanyike tarehe 4 Octoba, 2017 katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania

Monday, September 25, 2017 - 10:30

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limefanya mafunzo ya kujengea uwezo viongozi na waratibu wa Uwezeshaji Kanda ya Nyanda za Juu Kusini ikihusisha mikoa ya Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe, Ruvuma na Rukwa.

Monday, September 18, 2017 - 08:45

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi ni Taasisi ya Serikali iliyoundwa na Sheria ya Uwezeshaji ya mwaka 2004, chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Baraza lina jukumu la kusimamia, kuratibu, kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa shughuli za uwezeshaji Tanzania bara.

Thursday, August 10, 2017 - 12:15

Mradi wa Bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda mpaka Chongoleani, Tanga, Tanzania ni mmojawapo ya miradi mikubwa kutekelezwa nchini Tanzania ambao utagharimu dola za kimerakani 3.5 bilioni sawa na shillingi Trillioni 8 za kitanzania.

Friday, July 21, 2017 - 15:30

Watanzania wametakiwa kutumia fursa zinazoendelea kuwekwa na serikali ya awamu ya tano kujikita katika ujasiriamali na kuanzisha viwanda kwa ajili ya kujenga uchumi viwanda ili kufikia uchumi kati na kuboresha ustawi wa jamii hapa nchini