Kongamano la Uwezeshaji 2018

Mahali

LAPF, DODOMA.

Tarehe

2018-06-18 - 2018-06-18

Muda

08:00AM - 04:00PM

Madhumuni

  • Kujadili Changamoto mbalimbali zinazokabili Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi nchini Tanzania;
  • Kutambua michango ya wadau mbalimbali wa Uwe

Event Contents

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi linatarajia kufanya Kongamano la pili la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi tarehe Juni 2018 Mjini Dodoma na kuhudhuriwa na wadau wasiopungua 300 kutoka kwenye sekta ya Umma na Binafsi nchini.

Lengo la kongamano ni kukutanisha wadau wa sekta ya Umma na Binafsi kujadiliana masuala ya uwezeshaji kiuchumi, kujifunza toka kwa wadau wengine namna ya kuchochea juhudi za uwezeshaji wananchi kiuchumi na kutambua Taasisi za Umma na Binafsi nchini zilizofanya vizuri katika kuratibu masuala ya uwezeshaji katika maeneo yao.

Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa (MB).

Washiriki

Wadau wote wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Nchini Tanzania.

Ada ya Tukio

Bure

Simu

+225 22 2125596

Barua pepe

neec@uwezeshaji.go.tz

Pakua

  Pakua