National Economic Empowerment Council

Prime Minister's Office

Thursday, August 10, 2017 - 12:15

Mradi wa Bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda mpaka Chongoleani, Tanga, Tanzania ni mmojawapo ya miradi mikubwa kutekelezwa nchini Tanzania ambao utagharimu dola za kimerakani 3.5 bilioni sawa na shillingi Trillioni 8 za kitanzania.

Monday, August 7, 2017 - 09:15

Baraza la Taifa La Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) kwa kushirikiana na Taasisi ya Uendelezaji Sekta
ya Fedha Nchini (FSDT) wanatekeleza program ya kuimarisha uratibu wa sekta ya uendelezaji biashara na

Friday, July 21, 2017 - 15:30

Watanzania wametakiwa kutumia fursa zinazoendelea kuwekwa na serikali ya awamu ya tano kujikita katika ujasiriamali na kuanzisha viwanda kwa ajili ya kujenga uchumi viwanda ili kufikia uchumi kati na kuboresha ustawi wa jamii hapa nchini

Wednesday, May 31, 2017 - 14:45

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi linatarajia kufanya Kongamano la pili la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi tarehe 10 Juni 2017 Mjini Dodoma katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Fedha na Mipango na kuhudhuriwa na wadau wasiopungua 300 kutoka kwenye sekta ya Umma na Binafsi nchini.

Wednesday, May 31, 2017 - 13:45

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lasaini makubaliano na Kampuni ya Magazeti ya Serikali katika kuhabarisha na kuelimisha umma zaidi kuhusu Kongamano la Uwezeshaji

Monday, May 29, 2017 - 13:30

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi limetoa mafunzo ya kujengea uwezo viongozi na waratibu wa Uwezeshaji Kanda ya Kaskazini (Kilimanjaro, Arusha na Tanga) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro tarehe 23 - 26 Mei 2017

Wednesday, May 10, 2017 - 11:15

Baraza Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limesaini makubaliano na Taasisi ya Huduma Ndogo za Fedha ya UTT Microfinance PLC  ili kuongeza wigo wa mikopo kwa wajasiriamali  wanaotokana na program za vijana zinazoendeshwa na NEEC.

Thursday, April 20, 2017 - 16:00

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefungua maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi leo tarehe 18/04/2017 mjini Dodoma katika viwanja vya Mashujaa.