Waziri Mkuu, Mh. Kassimu Majaliwa akutana na kufanya Mazungumzo na Wajumbe wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Ofisini kwake,jijini Dar es Salaam, tarehe 24/01/2017.