Baraza la Uwezeshaji latoa Semina kwa Wabunge kuhusu Ushiriki wa Wananchi katika Uwekezaji katika maeneo yao, tarehe 28/01/2017 mjini Dodoma

Warizi wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu), Mh. Jenista Mhagama akitoa neno la Ufunguzi katika Semina hiyo.

Baadhi ya Washiriki waliohudhuria Semina hiyo.

Picha ya pamoja wakati wa semina hiyo.