Wasifu
BRIGEDIA JENERALI (MSTAAFU), ALOYCE MWANJILE
- Mjumbe wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, aliteuliwa mwaka 2023.
ELIMU
-
SHAHADA YA PILI YA USALAMA NA MASOMO YA KIMKAKATI ( CHUO CHA ULINZI WA TAIFA CHA TANZANIA)
2014 - 2015
NAFASI NYINGINE ALIZOWAHI KUSHIKA
- MWENYEKITI WA BODI YA KOROSHO TANZANIA JUNE 2021 – JULY 2024
- MJUMBE WA BODI YA KAMPUNI YA BIASHARA YA JITEGEGEMEE CHINI YA CCM 2018 – 2021
- MJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORORO – 2017 - 2020