Kuratibu Mifuko ya Uwezeshaji
Mpaka sasa kuna mifuko ya Serikali na Programu za uwezeshaji wananchi kiuchumi 45 ambazo zinaratibiwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi. Mifuko na programu hizo zimegawanyika kama ifuatavyo:
Mifuko inayotoa mikopo moja kwa moja kwa wajasiriamali
- Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (Presidetial Trust Fund –PTF),
- Mfuko wa Maendeleo ya Vijana (Youth Development Fund –YDF),
- Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake (Women Development Fund –WDF),
- Mfuko wa Taifa wa Kuendeleza Wajasiriamali Wananchi(National Entrepreneurship Development Fund –NEDF),
- Mfuko wa Pembejeo wa Taifa (Agricultural Inputs Trust Fund –AGITF),
- UTT Microfinance Plc
- Mfuko wa Kutoa Mikopo kwa Wajasiriamali Wadogo (SELF MicrofinanceFund),
- Mfuko wa Mikopo ya Nyumba kwa Watumishi wa Serikali,
- Mfuko wa Kilimo Kwanza (Kilimo Kwanza Fund–KKCF),
- Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
- Mfuko wa Mzunguko katika mikoa(SIDO RRF)
- Mfuko wa ufilisi wa Benki ya Nyumba (THB)-TIB Development,
- Mfuko wa Serikali ya Japan wa uingizaji bidhaa kutoka nje (commodity import Support
- Mfuko wa kusaidia kilimo cha maua na mbogamboga na kiwanda cha nyama
Mifuko inayotoa dhamana za mikopo kwa kushirikiana na benki na taasisi za fedha
- Mfuko wa Kusaidia Sekta Binafsi ya Kilimo (Private Agricultural Sector Support Trust –PASS Trust),
- Mfuko wa Kudhamini Mikopo ya Mauzo Nje ya Nchi (Export Credit Guarantee Scheme –ECGS),
- Mfuko wa Kudhamini Mikopo kwa Wajasiriamali Wadogo na wa Kati (SME Credit Guarantee Scheme (SME-CGS),
- Mfuko wa Uwezeshaji wa Mwananchi (Mwananchi Empowerment Fund –MEF),
- Mfuko wa dhamana zamikopo kwa wakulima wadogowadogo (Smallholders Credit Guarantee Scheme),
- Mfuko wa Kusaidia Wakandarasi (Contractors Assistance Fund –CAF),
- Mpango wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (JK Fund),
- Mfuko wa Dhamana za Mikopo kwa wajasiriamali katika sekta ya kilimo (SIDO SME-CGS)
- Mfuko wa Nishati Jadidifu (Tanzania Energy Develiopment and Expansion-TEDAP),
- Mfuko wa mikopo midogo ya nyumba (Housing Microfinance Fund)
Mifuko inayotoa ruzuku
- Mfuko wa Nishati Vijijini (Rural Energy Fund –REF)
- Bodi ya Mfuko wa Barabara Bodi ya Mfuko wa Barabara
- SAGCOT-Catalytic Fund
- Mfuko wa Madini kwa wachimbaji wadogo nchini,
- UTT- AMIS,
- Mfuko wa Mawasiliano kwa Umma (UCSAF),
- Mfuko wa Elimu Tanzania (Tanzania Education Fund –TEF),
- Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tanzania Social Action Fund –TASAF)
- Mfuko wa Misitu Tanzania (Tanzania Forest Fund –TaFF),
- Mfuko wa Fidia ya Ardhi Tanzania
- Mfuko wa Maendeleo ya Maji Vijijini
- Mfuko wa kupambana na kudhibiti UKIMWI
- Mfuko wa Wanyama Pori
- Mfuko wa ubunifu vijijini (RIF)
- Mfuko wa Hifadhi za Misitu ya Tao la Mashariki
- Mfuko wa utalii
- Mfuko wa Hifadhi ya Mazingira
- Mfuko wa Malekale
Programu za uwezeshaji
- Mfuko wa kuendeleza sekta binafsi za fedha Tanzania (Financial Sector Depening Trust- FSDT)
- Mpango wa Kurasimisha Rasilimali za Wanyonge Tanzania (MKURABITA)
- Programu ya miundombinu ya masoko na Huduma za kifedha Vijijini (MIVARF)