Karibu Karibu kwenye tovuti ya Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC). NEEC ilianzishwa mwaka 2005 ili kusimamia utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uwezeshaji Kiuchumi ya mwaka 2004. Katika mwaka huo huo Sheria ya Taifa ya Uwezeshaji Kiuchumi ilianzishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuipa nguvu ya kisheria utekelezaji wa Sera. Tovuti hii inatoa maelezo ya kina kuhusu NEEC, kazi zake muhimu,... Habari & Matukio 15 May DKT. ASHATU AWATAKA WANUFAIKA WA MIKOPO KUREJESHA KWA WAKATI... 09 May MAONESHO YA MIFUKO NA PROGRAMU ZA UWEZESHAJI NI FURSA YA UKUAJI KIUCHUMI ... 07 May MAONESHO YA TANO YA MIFUKO NA PROGRAM ZA UWEZESHAJI NA WAJASIRIAMALI KUANZA TAREHE 08/05/2022, MORO...... Ushiriki wa Watanzania Uratibu wa Ushiriki wa Watanzania Kwenye Uwekezaji
Tovuti Mashuhuri Kanzidata Ya Uwezeshaji Tanzania Youth Coalition Bunge la Tanzania Benki Kuu ya Tanzania Kituo cha Uwekezaji Zaidi Videos Testimonies Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Ashatu Kijaji - Maonesho ya 5 ya Mifuko Morogoro "Baraza la Uwezeshaji linafanya kazi nzuri hususan katika kuratibu shughuli za uwezeshaji kama kufanya maonesho ya mifuko amb... ‘’Tunashukuru sana ushirikiano tuliopewa na Baraza la Uwezeshaji katika kufanikisha leo kuweza kuzindua Ushirika wa Makampuni ya Matangazo ya Biashara hapa nchini ambapo tunaamini itatuwezesha kushiriki kwa mapana zaidi... Mh. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania ‘’Nalipongeza Baraza la Taifa la Uwezeshaji kwa kazi nzuri ya kuratibu uanzishwaji wa madawati ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi katika Wizara, Idara, Taasisi, Mikoa na Halmasha...