Dira na Dhima

Dira

Kuwa kiongozi wa kimkakati katika kuwezesha, kuratibu, kusimamia, kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uwezeshaji wa Uchumi.

Dhima

Kuongoza Watanzania kuelekea katika uchumi thabiti wa taifa kwa kutengeneza mazingira rafiki ya biashara na ushiriki sawa katika kiuchumi.

Malengo
 • Kuwapa Watanzania fursa ya kushiriki katika shughuli za kiuchumi.
 • Kuhimiza na kukuza akiba, uwekezaji na ushiriki wa kiuchumi wenye maana.
 • Kuhimiza na kusaidia misaada ya biashara ilipatiwa na kuendeshwa na Watanzania
 • Kudhibiti, kusimamia na kutambua vyanzo vya misaada na michango ya Mfuko wa uwezeshaji.
Maadili ya Msingi ya Baraza
 • Uwazi
 • Usawa na Usahihi
 • Kiasi (upole)
 • Ushindani
 • Uwajibikaji
 • Kufanya kazi kwa Umoja (Timu)
 • Kujitolea