Wasifu
AFISA MTENDAJI MKUU, MAMLAKA YA MASOKO YA MITAJI NA DHAMANA – CMSA, CPA. NICODEMAS DEOGRATIUS MKAMA
- Mjumbe wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, aliteuliwa mwaka 2023.
ELIMU
- Shahada ya pili ya Utawala wa Biashara katika Fedha kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam
NAFASI NYINGINE ALIZOSHIKA
- Mkurugenzi wa Utafiti, Sera na Mipango kuanzia 2015 mpaka 2017
- Meneja wa Uendelezaji wa Masoko CMSA kuanzia 2013 mpaka 2015
- Meneja wa Fedha wa CMSA kuanzia 2007 mpka 2013