Wasifu
AFSA MTENDAJI MKUU, WAKALA WA USAJILI WA BIASHARA NA LESENI, GODFREY SIMANGO NYAISA
- Mjumbe wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, aliteuliwa mwaka 2023.
ELIMU
- SHAHADA YA PILI YA UTAWALA WA BIASHARA KATIKA CHUO KIKUU CHA MZUMBE
NAFASI NYINGINE ALIZOSHIKA
- MENEJA WA UTAWALA KATIKA BENKI KUU YA TANZANIA KUANZIA 2018 - 2020
-
MENEJA MSAIDIZI WA HESABU NA USIMAMIZI WA UGAVI KUANZIA 2015 -2018