Wasifu
MKURUGENZI MKUU MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI, DR. JOHN MDUMA
- Mjumbe wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, aliteuliwa mwaka 2023.
ELIMU
- PhD (Agr. Economics) KATIKA CHUO KIKUU CHA BONN, UJERUMANI MWAKA 2005
NAFASI NYINGINE ALIZOSHIKA
- MWENYEKITI WA BODI KATIKA MAMLAKA YA MASOKO YA MITAJI NA DHAMANA – CMSA KUANZIA MWAKA 2017 HADI SASA.
- MJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI KATIKA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA KUANZIA 2014 – 2016
- MJUMBE WA Bodi ya RUFAA YA MAPATO YA KODI KUANZIA 2017 HADI SASA