Wasifu
THEOBALD MAINGU SABI, FCCA, MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA TAIFA YA BIAHARA
- Mjumbe wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, aliteuliwa mwaka 2023.
ELIMU
- Shahada ya kwanza ya sayansi katika Uhandisi wa Umeme, kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2000
NAFASI NYINGINE ALIZOSHIKA
- Mkurugenzi wa Biashara katika Benki ya Taifa ya Biashara kuanzia Desemba 2014 hadi Mei 2017
-
Mkuu wa Huduma kwa Wateja katika Benki ya Standard Chartered Tanzania kuanzia Novemba 2010 hadi Septemba 2014.