Wasifu
KAMISHNA WA BAJETI WIZARA YA FEDHA, MESHACK JORA ANYINGISYE
- Mjumbe wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, aliteuliwa mwaka 2023.
ELIMU
- SHAHADA YA UZAMILI KATIKA UCHUMI WA MAENDELEO YA UCHUMI NA SERA KUTOKA CHUO KIKUU CHA MANCHESTER KUANZIA 2012 - 2013
- SHAHADA YA UZAMILI KATIKA SHAHADA YA UZAMILI KATIKA USIMAMIZI WA MIUNDOMBINU KUTOKA CHUO KIKUU CHA YOKOHAMA KUANZIA 2013 - 2015
NAFASI NYINGINE ALIZOSHIKA
- MJUMBE WA BODI YA WADHAMINI NA MWENYEKITI WA KAMATI YA FEDHA, MIPANGO NA UTAWALA, BOHARI KUU
- MWENYEKITI WA KAMATI YA MAANDALIZI YA MWONGOZO WA MPANGO NA BAJETI
- MWAKILISHI WA KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KATIKA BODI YA MFUKO WA BARABARA