Wasifu
Aloyce D. Mwanjile
Ni Mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Akiwa mtumishi wa Jeshi alishika nafasi mbalimbali za uongozi ndani na nje ya
nchi. Wakati anastaafu mwaka 2017 alikuwa Mkuu wa Ukaguzi Jeshini (Chief Inspector
General). Pia aliwahi kuwa Kamishna Msaidizi wa Logistics katika wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kuanzia
mwaka 2013 mpaka 2014. Alikuwa Mkuu wa Vikosi mbalimbali vya Jeshi kuanzia
mwaka 2006 mpaka 2013. Alikuwa mwalimu katika Chuo cha Kijeshi Arusha na
Pangawe kuanzia mwaka 1994 mpaka 2002. Aliwahi kuwa mjumbe wa Bodi ya Hifadhi
ya Ngorongoro (NCAA) na Kampuni ya Jitegemee |