Wasifu

Astronaut Bagile

Astronaut Bagile

Ni Mkurugenzi Mtendaji na mwanzilishi wa shirika lisilo la kiserikali la Women In Social Entrereneurship (WISE). Amefanya kazi katika mashirika yasiyo ya kiserikali ya kitaifa na kimataifa kwa miaka 25 akichangia kuinua hali za uchumi za wananchi husan makundi yaliyo na hali duni zaidi kama wakulima, wanawake, vijana na watoto. Ni mjumbe wa bodi wa shirika la kimataifa linalojihusisha na utafiti wa masuala ya kijinsia na wanawake Afrika (AAWORD) lililo na makao yake Senegal. Pia ni Mjumbe wa bodi wa shirika lisilo la kiserikali lijulikanalo kama SCODIA.