
Wasifu
CPA BENG'I M. ISSA
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC). Aliteuliwa na Mhe. Rais kwenye nafasi hii mnamo mwaka 2014.
- Bi. Issa ni mjumbe wa Kamati ya Kumshauri Mhe. Rais Masuala ya usawa wa Kijinsia (GEF) tangu mwaka 2021.
- Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Ujumuishaji wa Wanawake katika Sekta ya Fedha tangu mwaka 2021.
- Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika Lisilo la Kiserikali la Legal Service Facility (LSF) tangu mwaka 2019.
- Mwenyekiti wa Waanzilishi Taasisi ya Ushindani wa Ujasiriamali Tanzania (TECC) tangu mwaka 2015,
- Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa tangu mwaka 2022.
- Mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi wa Soko la Hisa Hisa la Dar es Salaam (DSE) tangu mwaka 2020
- Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya SAGCOT Centre Ltd tangu mwaka 2022.
SIFA;
- Ni Muhasibu aliyethibitishwa na NBAA CPA(T) (1999),
- Ana degree ya juu ya Sayansi ya Utawala wa Fedha kutoka Chuo Kikuu cha Caledonian, Uingereza.
- Amesoma Mzumbe na amefundisha Mzumbe University kwa miaka 9.