Mahali

UKUMBI WA PSPF - DODOMA

Tarehe

2022-09-19 - 2022-09-19

Muda

19/09/2022 - 19/09/2022

Madhumuni

Kujadili mikakati ya Kitaifa ya uwezeshaji wananchi kiuchumi

Event Contents

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim M. Majaliwa (Mb) atakua Mgeni Rasmi na Mwenyekiti wa Kongamano la Sita (6) la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi litakalofanyika Jijini Dodoma katika Ukumbi wa LAPF - 19/09/2022.

Kauli Mbiu "Uwezeshaji Wananchi katika Uwekezaji"

Washiriki

Ada ya Tukio

NIL

Simu

+255222137362

Barua pepe

neec@uwezeshaji.go.tz