Maonesho ya nne ya Mifuko na Programu za Uwezeshaji - Arusha

Mahali

Arusha - Tanzania

Tarehe

2021-02-07 - 2021-02-13

Muda

Saa 2:00 Asubuhi - Saa 10:00 Jioni

Madhumuni

Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Kuimarisha huduma zitolewazo na Vikundi vya Kifedha kwa Wajasiriamali.

Event Contents

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi linaratibu maonesho ya nne ya Mifuko na Programu za Uwezeshaji, Vikundi vya Kifedha na Wajasiriamali katika kanda ya kaskazini yatakayofanyika katika Mkoa wa Arusha viwanja vya Azimio.

Washiriki

OWM, Wadau mbalimbali, Wajasiriamali, Vikundi vya Kifedha, Taasisi za Serikali na Sekta Binafsi.

Simu

+255 22 2125596

Barua pepe

neec@uwezeshaji.go.tz