MAONESHO YA TANO YA MIFUKO NA PROGRAMU ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI 2022

MAONESHO YA TANO YA MIFUKO NA PROGRAMU ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI 2022

Mahali

Morogoro - Uwanja wa Jamhuri

Tarehe

2022-05-08 - 2022-05-14

Muda

08/05/2022 - 14/05/2022

Madhumuni

Kuonesha fursa zilizopo katika mifuko ya uwezeshaji wananchi kiuchumi pamoja na programu mbalimbali za uwezeshaji .

Event Contents

Mgeni Rasmi katika Maonesho haya atakuwa ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim M. Majaliwa

Maonesho haya yatafanyika kwa siku saba mfululizo katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro.

Washiriki ni pamoja na Mifuko ya Uwezeshaji, Wizara, Wajasiriamali wadogo, wa kati na wakubwa, Taasisi za Serikali na Taasisi Binafsi.

Kwa maelekezo jinsi ya kushiriki piga simu namba zilizopo katika tangazo hili.

Asante na katibu sana.

Washiriki

Washiriki ni pamoja na Mifuko ya Uwezeshaji, Wizara, Wajasiriamali wadogo, wa kati na wakubwa, Taasisi za Serikali na Taasisi Binafsi.

Ada ya Tukio

50,000 - 2,500,000

Simu

+255 718 191 363 or +255 625 500 385

Barua pepe

neec@uwezeshaji.go.tz