Je, wajasiriamali wanaweza kushirikiana na vikundi vyao kupata mikopo kupitia mifuko ya uwezeshaji?

Ndiyo, wajasiriamali wanaweza kushirikiana kwa kuunda vikundi vya kijasiriamali na kuwasilisha maombi ya mkopo kwa pamoja. Hii inasaidia kuwa na ushirikiano wa kisera, kuongeza fursa ya kupata mikopo, na kufanikisha maendeleo ya biashara kwa pamoja

Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo