Ni faida gani wajasiriamali wanazozipata kutoka katika mifuko na programu za uwezeshaji zinazoratibiwa na Baraza?

Wajasiriamali wanapata faida mbalimbali ikiwa ni pamoja na mikopo ya riba nafuu, mafunzo ya biashara, ufanisi katika uzalishaji, na upatikanaji wa masoko kwa bidhaa zao. Hii inawasaidia kukua na kuimarisha biashara zao, na pia kuwa na uwezo wa kuajiri watu na kuchangia katika uchumi wa taifa.

Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo