Ni mifuko gani na programu za uwezeshaji ambazo Baraza linashirikiana nazo?

Baraza linashirikiana na mifuko na programu za uwezeshaji zinazolenga kuwasaidia kiuchumi wajasiriamali. Kwa mawasiliano zaidi kujua aina za mifuko na programu za uwezeshaji, tembelea tovuti ya Baraza: https://www.uwezeshaji.go.tz

 

Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo