Baraza lina nafasi gani katika kuwasaidia wajasiriamali hapa nchini kupata mikopo katika mifuko na programu za uwezeshaji?

Baraza linafanya kazi ya kuwaunganisha (link) wajasiriamali, wakulima, wafugaji, na makundi mengine ya kiuchumi na mifuko na programu za uwezeshaji ili waweze kupata mikopo kwa urahisi na msaada wa kifedha kwa ajili ya shughuli zao za uzalishaji.

Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo