Mifuko na programu za uwezeshaji zinatoa msaada gani kwa wajasiriamali wanaoanza biashara zao?

Mifuko na programu za uwezeshaji zinatoa msaada wa kifedha, mafunzo ya ujasiriamali, na ushauri wa kibiashara kwa wajasiriamali wanaoanza. Hii inawasaidia kupanga na kuanzisha biashara zao kwa njia sahihi, kutambua fursa za soko, na kuwa na mikakati bora ya ukuaji wa biashara zao.

Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo