Je, Baraza linatoa mafunzo gani kwa wajasiriamali ili kuwawezesha kufikia mikopo?

Kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kama vile wa Mifuko na Programu za uwezeshaji, Baraza linaendesha mafunzo ya ujasiriamali, usimamizi wa biashara, na mikakati ya kupata mikopo. Mafunzo haya husaidia wajasiriamali kuboresha ufahamu wao kuhusu namna ya kuandaa mipango ya biashara, usimamizi wa fedha, na jinsi ya kutumia mikopo kwa ufanisi katika shughuli zao za uzalishaji.

Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo