Mifuko na programu za uwezeshaji zinatoa mkopo kwa wajasiriamali wa aina gani?

Mifuko na programu za uwezeshaji zinazoratibiwa na Baraza zinatoa mikopo kwa wajasiriamali katika sekta mbalimbali kama vile kilimo, ufugaji, ujasiriamali wa viwanda vidogo na vya kati, na huduma za biashara. Hii inajumuisha wajasiriamali wa vijijini na mijini wanaoendeshwa na shughuli za uzalishaji.

Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo