Habari

Imewekwa: Jul, 28 2022

Hafla ya Makubaliano programu ya "

News Images

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) na Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) wamesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya utekelezaji wa programu ya “Mwanamke Imara” ambapo Katibu Mtendaji wa NEEC Bibi Beng’i Issa na Mkurugenzi Mtendaji wa TAWLA Bi. Tike Mwambipile wakiwakilisha vyema Taasisi hizo.

Makubaliano hayo yamefanyika siku ya Jumatano, Tarehe 27/07/2022 katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Protea Jijini Dar es Salaam.

"