Habari

Imewekwa: Nov, 26 2021

Kongamano hilo lilifunguliwa na Naibu Waziri wa Maji (Mgeni Rasmi) Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb)

News Images

KONGAMANO MAALUM LA WANAWAKE - WOMEN IN ACTION 2021

Kongamano hilo lilifunguliwa na Naibu Waziri wa Maji (Mgeni Rasmi) Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) katika ukumbi wa Mlimani City na kuudhuliwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, wadau wa kimaendeleo, wajasiriamali na wawakilishi wa Taasisi mbalimbali.

Lengo kuu la kongamano hilo likiwa ni kuzindua mradi maalum wenye lengo la kuwezesha wanawake kiuchumi nchi nzima, ambapo wataalam katika sekta mbalimbali walitoa mada na kujadili ni namna gani wanawake wanapaswa kutengeneza na kutumia fursa kwa uchumi endelevu.

Katibu Mtendaji wa NEEC Bibi Beng'i Issa (Mgeni Maalum) alifunga kongamano hilo na kuwasisitiza wajasiriamali hasa wanawake kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotolewa na Serikali.

Tanzania Census 2022