Habari

Imewekwa: Nov, 23 2021

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Geoffrey I. Mwambe kituo cha Uwezeshaji Kahama

News Images

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Geoffrey I. Mwambe akiambatana na Katibu Mtendaji wa NEEC Bibi Beng'i Issa ametembelea Kituo cha Uwezeshaji Kahama na kupokelewa na Mkuu wa Kituo hicho Bw. Jozaka Bukuku.

Waziri Mwambe ametembelea kituo hicho katika ziara yake ya ukaguzi wa miradi ya uwekezaji na shughuli za uwezeshaji wananchi kiuchumi hapo jana (23/11/2021).

Mhe. Mwambe alipata nafasi ya kuzungumza na baadhi ya Taasisi zinazotoa huduma katika kituo hicho zikiwemo @gs1_tanzania @veta_tanzania @openuniversitytz na kuwapa maagizo yanayolenga kuboresha huduma katika kituo