Matukio
PIGA KURA KWA KUPENDEKEZA MJASIRIAMALI
Kongamano la sita(6) la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi linajumuisha utoaji wa tuzo kwa wadau waliofanya vizuri zaidi katika kuwawezesha wananchi kiuchumi katika mwaka 2021/2022. Tuzo hizi zitatolewa... Soma zaidi
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim M. Majaliwa (Mb) atakua Mgeni Rasmi na Mwenyekiti wa Kongamano la Sita (6) la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi litakalofanyika Jijini... Soma zaidi
MAONESHO YA TANO YA MIFUKO NA PROGRAMU ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI 2022
Mgeni Rasmi katika Maonesho haya atakuwa ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim M. Majaliwa
Maonesho haya yatafanyika kwa siku saba mfululizo katika uwanja wa Jamhuri M... Soma zaidi
Kongamano la tatu la kitaifa la Local Content
Kongamano la tatu la kitaifa la Local Content
Soma zaidiMaonesho ya nne ya Mifuko na Programu za Uwezeshaji - Arusha
Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi linaratibu maonesho ya nne ya Mifuko na Programu za Uwezeshaji, Vikundi vya Kifedha na Wajasiriamali katika kanda ya kaskazini yatakayofanyika katik... Soma zaidi
Kongamano la Uwezeshaji
Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi linatarajia kufanya Kongamano la nne la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi tarehe 15 Juni 2019 Mjini Dodoma na kuhudhuriwa na wadau wasiopungua 300 kutoka... Soma zaidi