UZINDUZI WA MFUKO WA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI KATIKA KUTEKELEZA AHADI YA BILIONI 200
29 Jan, 2026 0200 Asubuhi JAKAYA KIKWETE CONVENTION CENTRE

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na wenye Ulemavu) tunatarajia kuzindua Mfuko wa Taifa wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi katika kutekeleza ahadi ya Bilioni 200 za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu HassanTarehe 04 Februari 2026.

UZINDUZI WA MFUKO WA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI KATIKA KUTEKELEZA AHADI YA BILIONI 200
Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo