Wajasiriamali wanaweza kupata mikopo kwa haraka kwa kuwasilisha maombi kupitia mfumo wa mtandao wa Baraza (NEMIS), kuwasiliana na mifuko na programu moja kwa moja au kutuma maombi yao kupitia anuani ya Posta ya Baraza inayopatikana katika tovuti. Hata hivyo, ni muhimu wajasiriamali waoneshe, ufahamu...
Mifuko na programu za uwezeshaji zinatoa msaada wa kifedha, mafunzo ya ujasiriamali, na ushauri wa kibiashara kwa wajasiriamali wanaoanza. Hii inawasaidia kupanga na kuanzisha biashara zao kwa njia sahihi, kutambua fursa za soko, na kuwa na mikakati bora ya ukuaji wa biashara zao.
Ndiyo, mikopo inayotolewa kupitia mifuko na programu za uwezeshaji inakuwa na riba, lakini riba hii ni ya chini ikilinganishwa na mikopo mingine. Hii inatoa fursa kwa wajasiriamali kuwa na uwezo wa kulipa mikopo kwa urahisi na kutumia mikopo hiyo kuendeleza shughuli zao za uzalishaji.
Mifuko na programu za uwezeshaji zinazoratibiwa na Baraza zinatoa mikopo kwa wajasiriamali katika sekta mbalimbali kama vile kilimo, ufugaji, ujasiriamali wa viwanda vidogo na vya kati, na huduma za biashara. Hii inajumuisha wajasiriamali wa vijijini na mijini wanaoendeshwa na shughuli za uzalishaji...
Kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kama vile wa Mifuko na Programu za uwezeshaji, Baraza linaendesha mafunzo ya ujasiriamali, usimamizi wa biashara, na mikakati ya kupata mikopo. Mafunzo haya husaidia wajasiriamali kuboresha ufahamu wao kuhusu namna ya kuandaa mipango ya biashara, usimamizi wa fed...
Vigezo vinavyotumika kutolewa kwa mikopo ni pamoja na uwezo wa mjasiriamali katika shughuli za uzalishaji, mpango wa biashara wenye madhumuni ya maendeleo, na hitaji la fedha katika kuendeleza shughuli zao. Aidha, wajasiriamali wanatakiwa kutoa michango ya aina fulani, kama vile dhamana au udhamini...
Wajasiriamali wanapata taarifa kuhusu mifuko na programu za uwezeshaji kupitia njia mbalimbali ikiwemo kutembelea tovuti ya Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), mfumo wa mtandao wa Baraza (NEMIS), semina, mafunzo au kufika makao makuu ya Ofisi za Baraza la Taifa la Uwezeshaji wana...