Habari

HADI SASA KWENYE MIRADI YA KIMKAKATI KUNA MAKAMPUNI ZAIDI YA 1000 YA KITANZANIA YALIYOPEWA ZABUNI NA WAWEKEZAJI

Hayo yamesemwa leo na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Bibi. Beng'i Issa wakati akizungumza kwenye kituo cha redio ya Uhuru FM live kwenye kipindi cha Hello Tanzania Asubuhi hii.... Soma zaidi

Imewekwa: Feb 19, 2021

"​WANANCHI MKIKOPA MKUMBUKE KUREJESHA MIKOPO"

Waziri Mkuu aliwataka Wananchi wote wanaonufaika na mikopo kutoka katika Mifuko ya Uwezeshaji kuhakikisha wanairejesha ili iweze kuleta tija na kuwanufaisha wengine.... Soma zaidi

Imewekwa: Feb 11, 2021

MKUU WA WILAYA YA ARUSHA ATEMBELEA VIWANJA VYA SHEIKH AMRI ABEID KUJIONEA MAONESHO YANAVYOENDELEA

Mhe. Kenani Kihongosi, Mkuu wa Wilaya ya Arusha Leo ametembelea viwanja vya Sheikh Amri Abeid kujionea namna maonesho ya Mifuko na Program za Uwezeshaji yanavyoendelea.... Soma zaidi

Imewekwa: Feb 08, 2021

Maonesho ya Nne ya Mifuko na Wajasiriamali yakiendelea Arusha

Maonesho ya nne ya Mifuko na Programu za Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kanda ya Kaskazini yameanza rasmi katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid Arusha.... Soma zaidi

Imewekwa: Feb 08, 2021

Mkutano na Waandishi wa Habari juu ya Maonesho ya Nne ya Mifuko ya Uwezeshaji

Leo Tarehe 24/01/2021, Katibu Mtendaji wa NEEC Bibi Beng’i Issa amezungumza na Waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Mikutano wa NEEC juu ya Maonesho ya Nne ya Mifuko na Programu za Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi yatakayofanyika Jijini Arusha kuanzia Tarehe 07/02/2021 mpaka Tarehe 13/02/2021.... Soma zaidi

Imewekwa: Jan 24, 2021

Karibuni katika Maonesho ya nne ya Mifuko na Programu za Uwezeshaji

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi - NEEC linaandaa Maonesho ya nne ya Mifuko na Programu za Uwezeshaji yatakayofanyika Jijini Arusha, katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid - kuanzia Tarehe 07 - 13 Februari 2021.... Soma zaidi

Imewekwa: Jan 20, 2021