Karibu Karibu kwenye tovuti ya Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC). NEEC ilianzishwa mwaka 2005 ili kusimamia utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uwezeshaji Kiuchumi ya mwaka 2004. Katika mwaka huo huo Sheria ya Taifa ya Uwezeshaji Kiuchumi ilianzishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuipa nguvu ya kisheria utekelezaji wa Sera. Tovuti hii inatoa maelezo ya kina kuhusu NEEC, kazi zake muhimu,... Habari & Matukio 24 Jan Leo Tarehe 24/01/2021, Katibu Mtendaji wa NEEC Bibi Beng’i Issa amezungumza na Waandishi wa Habari k...... 20 Jan Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi - NEEC linaandaa Maonesho ya nne ya Mifuko na Programu za Uw...... 15 Jan Serikali kupitia Taasisi Tano zikiwemo SIDO, AZANIA, NEEC, VETA na NSSF imeanzisha mpango wa Uendele...... Ushiriki wa Watanzania Tangazo kwa Umma Kuhusu Maonesho ya Tatu ya Vikundi vya Kifedha, Mifuko na Programu za Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Uratibu wa Ushiriki wa Watanzania Kwenye Uwekezaji
Tovuti Mashuhuri Tanzania Youth Coalition Bunge la Tanzania Benki Kuu ya Tanzania Kituo cha Uwekezaji Ikulu Zaidi Videos Testimonies ‘’Tunashukuru sana ushirikiano tuliopewa na Baraza la Uwezeshaji katika kufanikisha leo kuweza kuzindua Ushirika wa Makampuni ya Matangazo ya Biashara hapa nchini ambapo tunaamini itatuwezesha kushiriki kwa mapana zaidi... Mh. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania ‘’Nalipongeza Baraza la Taifa la Uwezeshaji kwa kazi nzuri ya kuratibu uanzishwaji wa madawati ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi katika Wizara, Idara, Taasisi, Mikoa na Halmasha...