Testimonies

[90x90]
Mh. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania ‘’Nalipongeza Baraza la Taifa la Uwezeshaji kwa kazi nzuri ya kuratibu uanzishwaji wa madawati ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi katika Wizara, Idara, Taasisi, Mikoa na Halmashauri zote nchini. Endeleeni kuwajengea uwezo waratibu hao ili kuongeza kasi ya uwezeshaji wananchi kiuchumi hapa nchini.’’ Mh Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.