Testimonies

[90x90]
‘’Tunashukuru sana ushirikiano tuliopewa na Baraza la Uwezeshaji katika kufanikisha leo kuweza kuzindua Ushirika wa Makampuni ya Matangazo ya Biashara hapa nchini ambapo tunaamini itatuwezesha kushiriki kwa mapana zaidi katika uchumi wetu kupitia tasnia ya matangazo ya biashara’’ Rashidi Tenga, Mwenyekiti wa Ushirika wa Makampuni ya Matangazo ya Biashara Tanzania.