Testimonies

[90x90]
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Ashatu Kijaji - Maonesho ya 5 ya Mifuko Morogoro "Baraza la Uwezeshaji linafanya kazi nzuri hususan katika kuratibu shughuli za uwezeshaji kama kufanya maonesho ya mifuko ambayo yanalenga kutatua chngamoto za mitaji kwa Watanzania, hivyo tutumie fursa hizi ili kukua kiuchumi"